Uko hapa: NyumbaniBiashara2021 11 23Article 573700

Habari za Biashara of Tuesday, 23 November 2021

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Mfumuko wa bei za mazao umepungua nchini - NBS

Mfumo wa bei za mazao umeshuka nchini - NBS Mfumo wa bei za mazao umeshuka nchini - NBS

Kwa mujibu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania, NBS imesema kuwa mfumuko wa bei za vyakula nchini umeshuka kwa asilimia 5 kwa mwaka 2021 kulinganisha na bei ya mazao kwa mwaka 2020.

Kupungua kwa bei za vyakula kunaweka mfumuko wa bei chini ya 5% ya lengo nchini Tanzania

Bei za mazo kwa mwezi September 2020

Mahindi Sh 56,500
Mchele Sh 146,400
Maharage Sh 195,300
Viazi Sh 75,300

Bei za mazo kwa mwezi September 2021

Mahindi Sh 44,200 21.8%
Mchele Sh 139,400 4.8%
Maharage Sh 170,700 12.6%
Viazi Sh 61,500 18.3%