Uko hapa: NyumbaniBiashara2021 05 03Article 536149

Habari za Biashara of Monday, 3 May 2021

Chanzo: mtanzania.co.tz

Picha: Benki ya Standard Chartered yafuturisha wateja Dar

Picha: Benki ya Standard Chartered yafuturisha wateja Dar Picha: Benki ya Standard Chartered yafuturisha wateja Dar

#QuirpTTWW66$$#0##QuirpTTWW66$$#1#Wateja wa wa Benki ya Standard Chartered wakishiriki Futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwa wateja wake katika Hoteli ya Serena, Dar es Salaam.

#QuirpTTWW66$$#2#Imam wa Mamour Sheikh Issa Othuman Issa(kushoto) akizungumza na Mkuu wa Huduma za Kibenki wa wateja wadogo wa benki hiyo, Ajmair Riaz(katikati)wakati wa futari waliowaandalia wateja wakati wa mfungo wa mwezi wa ramadhan, Dar es Salaam.

#QuirpTTWW66$$#3#Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered Tanzania, Sanjay Rughani, akisalimiana na wateja wakati wa futari waliowaandalia wateja wakati wa mfungo wa mwezi wa ramadhan, Dar es Salaam.

Join our Newsletter