Uko hapa: NyumbaniBiashara2021 05 30Article 540619

Taarifa Kwa Vyombo vya Habari ya

Chanzo: globalpublishers.co.tz

Rais Samia Ateua Ma-RAS Wapya, Amng'oa Erio NSSF

Rais Samia Ateua Ma-RAS Wapya, Amng'oa Erio NSSF Rais Samia Ateua Ma-RAS Wapya, Amng'oa Erio NSSF

Rais Samia Ateua Ma-RAS Wapya, Amng’oa Erio NSSF May 30, 2021 by Global Publishers

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameteuwa Makatibu Tawala wa Mikoa na wakuu wa taasisi kama ifuatavyo.

William Erio ameondolewa NSSF, atakuwa Mtendaji Mkuu wa Tume ya Ushindani wa Biashara (FCC).

Balozi Batilda Buriani amekuwa Katibu Tawala Mkoa wa Shinyanga. Aliwahi kuwa Balozi Japan na Kenya.

Walioteuliwa wote tazama hapa…Join our Newsletter