Uko hapa: NyumbaniBiashara2021 07 16Article 547258

Habari za Biashara of Friday, 16 July 2021

Chanzo: globalpublishers.co.tz

Vodacom Yashinda Tuzo ya Kampuni Bora ya Mawasiliano

Vodacom Yashinda Tuzo ya Kampuni Bora ya Mawasiliano Vodacom Yashinda Tuzo ya Kampuni Bora ya Mawasiliano

Vodacom Yashinda Tuzo ya Kampuni Bora ya Mawasiliano July 16, 2021 by Denis MtimaMeneja wa maduka ya rejareja wa Vodacom Tanzania Plc Vanessa Mlawi akionyesha tuzo baada ya kampuni hiyo kushinda kwenye maonesho ya sabasaba jijini Dar es Salaam. Vodacom Tanzania ilishinda tuzo hiyo baada ya kuwa kinara kutokana na huduma bora zilizotolewa na kampuni hiyo kwenye maonesho kupitia kundi la sekta ya mawasiliano.Kampuni ya Mawasiliano Vodacom imeshinda Tuzo ya Kampuni Bora ya Mawasiliano kwenye maonesho ya sabasaba jijini Dar es Salaam. Vodacom Tanzania ilishinda tuzo hiyo baada ya kuwa kinara kutokana na huduma bora zilizotolewa na kampuni hiyo kwenye maonesho ya 45 ya biashara ya kimataifa kupitia kundi la sekta ya mawasiliano.

Share this:TweetWhatsApp Related