Uko hapa: NyumbaniBiashara2021 08 21Article 552835

Habari za Biashara of Saturday, 21 August 2021

Chanzo: Tanzaniaweb

Zijue sarafu 10 zisizo na thamani Africa

Zijue sarafu 10 zisizo na thamani Africa Zijue sarafu 10 zisizo na thamani Africa

Sarafu ya fedha katika Bara la Africa zimeonekana kuwa Duni na kutajwa kutokuwa na thamani katika soko la Kimataifa. Hali hiyo inatajwa kusababishwa na sababu kadhaa ikiwemo, kukosekana kwa utulivu wa kisiasa, kuongezeka kwa deni la nje, mfumo wakiufisadi, migogoro ya ndani ya nchi ya muda mrefu, na uharibu wa jumla wa uchumi wa taifa husika.

Mara nyingi Thamani ya fedha huipa nguvu Taifa na kuwavutia wa zabuni kwa mujibu wa sheria.

Nchi zenye Sarafu iliyofanikiwa zimeonekana kuwa na thamani katika soko la Kimataifa. Na Mara kadhaa Kuongezeka kwa thamani ya fedha huonesha kwamba mifumko ya bei imethibitiwa katika taifa husika.

Umarufu wa sarafu flani ya fedha unatajwa kutokuwa kigezo cha thamani, Kuimarika kwa uchumi pia haulifanyi Taifa kuingia kwenye kigezo cha kuwa na sarafu imara ya fedha.

Hata hivyo mahitaji ya ugavi ya kila mara huipa nguvu sera ya kuweka thamani ya fedha husika. Mara nyingi, Sarafu dhaifu ya fedha inayopungua thamani huipa nguvu sarafu yenye thamani.

Hapa ni list ya sarafu zenye thamani ndogo Afrika