Uko hapa: NyumbaniHabariUhalifu & Adhabu2021 06 10Article 541933

xxxxxxxxxxx of Thursday, 10 June 2021

Chanzo: millardayo.com

Risasi yafyatuliwa kwenye machimbo Arusha,wachimbaji wakimbia,polisi waongea (+video)

Wachimbaji wa moramu kwenye machimbo yaliyopo katika kata ya Moivaro mkoani Arusha wamepata mshtuko baada yakudai polisi kufyatua risasi hewani huku wakiamriwa kuondoka.Baada ya malalamiko hayo kamanda wa polisi mkoa wa Arusha Justine masejo amesema wanafanya ufuatiliaji wa tukio hilo ili kuweza kupata ukweli wa taarifa hizo.

Join our Newsletter