Uko hapa: NyumbaniHabariDiaspora2021 10 13Article 563110

Diasporian News of Wednesday, 13 October 2021

Chanzo: millardayo.com

Video Call: Rais Mwinyi aongea na Gurnah, mzanzibar mshindi wa Nobel Ulaya

Video Call: Rais Mwinyi aongea na Gurnah, mzanzibar mshindi wa Nobel Ulaya play videoVideo Call: Rais Mwinyi aongea na Gurnah, mzanzibar mshindi wa Nobel Ulaya

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Hussein Ali Mwinyi amezungumza kwa video call na Mshindi wa Tuzo ya Nobel upande wa Fasihi Profesa Abdulrazak Gurnah ambae ni Mzaliwa wa Zanzibar.

Kwenye mazungumzo hayo Rais Mwinyi amempa pongezi za ushindi lakini pia akamualika aje Zanzibar ambapo amepokea mwaliko huo wa Rais kwa mikono miwili na kuahidi kwenda.