Uko hapa: NyumbaniBurudani2022 01 14Article 585868

Muziki of Friday, 14 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

20 Percent Amkataa Harmonize

20 Percent Amkataa Harmonize 20 Percent Amkataa Harmonize

Msanii maarufu wa Bongo Fleva, 20 Percent amefunguka kuwa kitendo cha msanii Harmonize kutangaza kuwa atafanya nae kolabo kilikua haikuwa sirizai na kwamba huenda Harmonize alitaka kufanya kazi na 20 Percent feki.

20 Percent amesema kuwa hata awali Harmonize alikua akifanya mawasiliano na mtu ambae sio yeye kitendo ambacho haelewi walikua wanawasiliana vipi na hata baada ya kumtafuta Harmonize hakuona kama kuna u-siriazi wa kufanya kazi hiyo.

Nini maoni yako kuhusu hili la Harmonize kuwaahidi wasanii wakubwa kolabo kisha anaingia mitini?