Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 10 12Article 562879

Burudani of Tuesday, 12 October 2021

Chanzo: millardayo.com

Abby Chams ahojiwa katika kipindi hiki cha runinga nchini Marekani

Abby Chams ahojiwa katika kipindi hiki cha runinga nchini Marekani Abby Chams ahojiwa katika kipindi hiki cha runinga nchini Marekani

NI Binti wa kitanzania Abby Chams ambae time hii anaingia kwenye rekodi ya kuwa miongoni mwa mabinti waliopata fursa ya kuhojiwa kwenye kituo kikubwa cha runinga nchini Marekani.

Abby Chams kwa mara ya kwanza ameonekana kwenye show hiyo mwanadada Kelly Clarkson wakizungumzia siku ya mtoto wa kike duniani. (Siku ya Binti)

katika kipindi hiki Abby aliungana na mabinti wengine kuelezea mambo mbalimbali yanayomuhusu mtoto wa kike hususani katika kuadhimisha siku ya mtoto wa kike duniani.

Inaelezwa kwamba Abby Chams ameweza kupata  nafasi hiyo baada ya kujituma katika jitihada zake za kuinua mabinti kupitia program yake ya Teentalk with Abby .