Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 08 28Article 554161

Burudani of Saturday, 28 August 2021

Chanzo: millardayo.com

Alichokifanya Professor jay kwenye usiku wa "The Icon"

Alichokifanya Professor jay kwenye usiku wa play videoAlichokifanya Professor jay kwenye usiku wa "The Icon"

NI Usiku wa Agosti 27, 2021 ambapo ilifanyika Tamasha la burudani lililopewa jina la The Icon ambalo liliwakutanisha wakongwe wawili Lady Jay Dee na Professor Jay.

Shangwe hizo za burudani zilitolewa Nyumbani Lounge iliyopo Namanga Dar es Salaam,hapa nimekusogezea hii video ushuhudie kile alichokifanya Professor Jay.