Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 10 09Article 562255

Burudani of Saturday, 9 October 2021

Chanzo: millardayo.com

Alikiba afunguka "nimechagua muziki wangu, wife hayupo" (video+)

Alikiba afunguka play videoAlikiba afunguka "nimechagua muziki wangu, wife hayupo" (video+)

Ni Exclusive Interview nyingine ya Millard Ayo na Alikiba kutoka kwenye AMPLIFAYA ya Clouds FM ambako amezungumza mengi kuhusu muziki wake, Mke wake kutokuwepo, Album yake mpya ya Only One King, muziki wa amapiano na mengine.