Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 08 24Article 553393

Burudani of Tuesday, 24 August 2021

Chanzo: eatv.tv

"Alikiba anatulindia BongoFleva yetu" - Ebitoke

"Alikiba anatulindia BongoFleva yetu" - Ebitoke

Mchekeshaji Annastazia Exavery 'Ebitoke' amemtaja Alikiba kwamba ndio msanii anayeilinda heshima ya muziki wa BongoFleva.

Kupitia page yake ya Instagram Ebitoke amepost video ya Alikiba akiimba remix ya wimbo wa songi songi ya msanii Maud Elka.

"King  ni mmoja tu wa Bongofleva wengine endeleeni kuimba Amapiano zenu, huyu ndio mfalme anayetulindia Bongofleva yetu" 

Hii ni mara ya pili kwa mchekeshaji Ebitoke kueleza hisia zake juu ya kumkubali Alikiba wiki moja iliyopita alishea picha ya msanii huyo akieleza kuwa amemuota ndotoni.