Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 08 15Article 551608

Burudani of Sunday, 15 August 2021

Chanzo: eatv.tv

Amber Lulu afunguka kuhusu kuzaa na Jux

Amber Lulu afunguka kuhusu kuzaa na Jux Amber Lulu afunguka kuhusu kuzaa na Jux

Ni headlines za msanii Amber Lulu ambaye ameshea mambo mengi na mashabiki zake kupitia page yake ya mtandao wa Instagram baada ya kuwapa nafasi ya kumuuliza maswali kisha kuyajibu.

Kupitia 'Insta Story' yake Amber Lulu amejibu kwamba bado ana mpango wa kuongeza watoto wengine watatu, pia anatamani kupata mtoto na Jux kwa sababu anampenda, ana heshimu wanawake, ana tabia nzuri na upendo.

Tayari msanii huyo ana mtoto mmoja na mzazi mwenza Ember Bosion japo wamegombana kwa sasa na amewahi kuwa na uhusinao na msanii Prezoo kutoka Kenya na Young Dee.