Uko hapa: NyumbaniBurudani2022 01 12Article 585136

Burudani of Wednesday, 12 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Baada ya Paula, Rayvanny Ahamia kwa Abby Chams

Baada ya Paula, Rayvanny Ahamia kwa Abby Chams Baada ya Paula, Rayvanny Ahamia kwa Abby Chams

OKTOBA 2021 msanii Ray Vanny aliachia EP yake inayoitwa NEW CHUI na Abby Chams akishirikishwa kwenye wimbo unaoitwa STAY unaopatikana kwenye EP hiyo.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, msanii Rayvanny ameachia picha flani hivi ya kimahaba akiwa na Chams.

Uwenda tukakutana na video ya wimbo wa Stay kutoka kwa Rayvanny baada ya Rara, ama uwenda pia ikawa ni Project ya Chams akimpa shavu Chui, lakini mashabiki wengine wanaserma huenda ikawa ni penzi jipya la mastaa hao.