Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 06 04Article 541084

Burudani of Friday, 4 June 2021

Chanzo: millardayo.com

Baba levo ajikanyaga, adai Alikiba ni msanii mkubwa "Acha unafiki"

Baba levo ajikanyaga, adai Alikiba ni msanii mkubwa play videoBaba levo ajikanyaga, adai Alikiba ni msanii mkubwa "Acha unafiki"

Baada ya wasanii kuwasili mkoani Kigoma wamefanya mahojiano Na AyoTV na millardayo.com ambapo msanii Alikiba na Marioo wakihojiwa kisha alitokea Baba Levo ambaye alianza kumuita Alikiba msanii mkubwa ndipo Alikiba akamwambia aache unafiki. PLAY kutazama ilivyokuwa

Join our Newsletter