Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 09 23Article 559348

Burudani of Thursday, 23 September 2021

Chanzo: millardayo.com

Birdman afunguka kiasi cha fedha anachoingiza kwa mwaka

Birdman afunguka kiasi cha fedha anachoingiza kwa mwaka play videoBirdman afunguka kiasi cha fedha anachoingiza kwa mwaka

Ni Mkali wa Hip Hop kutokea nchini Marekani, Bryan Christopher Williams a.k.a Birdman ambae time hii kupitia kwenye mahojiano yake katika Podcast iitwayo Big Facts.

Amefunguka na kutaja kiasi cha mkwanja anaoingia kwa mwaka kupitia muziki wake.

Staa huyo anasema kwa mwaka anaingiaza Bilioni 46 hadi Bilioni 92.6 ($20M & $40M).

Unaweza ukaitazama hapa interview yenyewe ufahamu zaidi pamoja na mengineyo kuhusu Rekodi label “Cash Money”.