Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 09 13Article 557176

LifeStyle of Monday, 13 September 2021

Chanzo: eatv.tv

Cholo Boy afunguka sura yake kutimiwa na wazazi

Cholo Boy afunguka sura yake kutimiwa na wazazi play videoCholo Boy afunguka sura yake kutimiwa na wazazi

Mchekeshaji Choloboy Comedian anasema moja ya changamoto aliyokutananayo ni baadhi ya wazazi kumtumia kutishia watoto wao pale anapopita mitaani.

Mchekeshaji huyo anayetrend kwa sasa mitandaoni kwa style yake ya ndugu waandishi wa habari anasema wazazi hao wanatumia mapungufu ya muonekano wake ili kuwaogopesha watoto wao.

Choloboy ameongeza kusema hali hiyo ilimuumiza sana na kumfanya kuwa na mawazo ila anawashukuru wadau wambao hawajawahi kumjaji au kumtania kuhusu maumbile yake.