Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 09 09Article 556393

Burudani of Thursday, 9 September 2021

Chanzo: millardayo.com

DC Jokate alivyomtoa machozi Madam Rita, amkumbusha "alikuwa mkali"

DC Jokate alivyomtoa machozi Madam Rita, amkumbusha play videoDC Jokate alivyomtoa machozi Madam Rita, amkumbusha "alikuwa mkali"

Ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo ambae Septemba 8, 2021 alikuwa ni mgeni rasmi katika uzinduzi wa msimu wa kumi na mbili wa Shindano la Bongo Star Search 2021.

Sasa miongoni mwa aliyoyazungumza ni kuhusu namna alivyowahi kufanya kazi na Jaji Madam Rita.

“Nakumbuka nilipishana na Madam alitaka niende kwenye majukumu yangu halafu haikuwa katika ratiba yangu nikamwambia akuniambia yaani hakuniandaa lakini nilipomaliza nikarudi ofisini kwake nikampelekea Maua na Champagne, vijana wengi siku hizi wakisaidiwa wanasahau”- DC Jokate Mwegelo

Ayo TV na millardayo.com imekusogezea hapa stori kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu kile kilichosemwa na DC Jokate Mwegelo.