Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 06 09Article 541762

xxxxxxxxxxx of Wednesday, 9 June 2021

Chanzo: millardayo.com

Dayna katua Bongo kutoka Nigeria kafunguka alivyompata Davido

Ni msanii Dayna Nyange ambaye amerejea nchini kutokea Nigeria ambapo alikuwa akifanya shughuli zake za kimuziki na baada ya kutua nchini amefanya mahojiano na AyoTV akielezea ilivyokuwa mpaka kumpata Davido kwenye kolabo. PLAY kutazama

Join our Newsletter