Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 07 15Article 547072

Burudani of Thursday, 15 July 2021

Chanzo: millardayo.com

Diamond aingia list ya mastaa wanaomiliki Rolls Royce Cullinan 2021 (Video+)

Diamond aingia list ya mastaa wanaomiliki Rolls Royce Cullinan 2021 (Video+) play videoDiamond aingia list ya mastaa wanaomiliki Rolls Royce Cullinan 2021 (Video+)

Baada ya mwimbaji star Diamond Platnumz kununua gari aina ya Rolls Royce Cullinan 2021 ameingia Kwenye list ya Mastaa hawa Afrika ambao washawahi kumiliki Gari hiyo ya thamani ya zaidi ya 1.5 Billion.