Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 08 14Article 551476

Burudani of Saturday, 14 August 2021

Chanzo: TanzaniaWeb

Diamond atimba Elements na Baiskeli

Diamond Platnumz akiwa kwenye baiskeli, Club Elements Masaki play videoDiamond Platnumz akiwa kwenye baiskeli, Club Elements Masaki

Katika tukio la Romy Jones Element Masaki wengi walitarajia kumuona Diamond na magari yake ya Kifahari yakiwemo Rolls Royce au Escallade lakini wapi jamaa ametimba na Baiskeli.

Tukio hilo limewaacha wengi midomo wazi, kuja na Baiskeli Element sio hilo kubwa zaidi ni kuvaa mask kama ya muigizaji maarufu kutoka Marekani aliyeigiza movie ya American Ninja.

Katika ujio huo Mwanamuziki huyo aliongpozana na Dj maarufu Romy Jones ambae anasherehekea Birthday yake siku ya jumatatu tar 16,lakini kwa mujibu wake shamra zinaanza leo mpaka tareh 29.