Uko hapa: NyumbaniBurudani2022 01 09Article 584488

Burudani of Sunday, 9 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Diamond na Adenkule wanafanya collabo kwa S2Kizzy?

Diamond na Adenkule wanafanya collabo kwa S2Kizzy? Diamond na Adenkule wanafanya collabo kwa S2Kizzy?

Staa wa muziki na mkali wa wimbo 'Before you wake up', #adekunlegold kutokea Nigeria amekutana, Diamond platnumz nchini Tanzania.

Tutarajie collabo? kwa mujibu wa ujumbe wa mtayarishaji #S2KizzyOfficial kwenye Insta Story yake mastaa hao watakua na session ya pamoja.