Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 06 30Article 544846

Burudani of Wednesday, 30 June 2021

Chanzo: millardayo.com

Diamond uso kwa uso na Busta Rhymes, Swizz Beatz & Hitmaka

Diamond uso kwa uso na Busta Rhymes, Swizz Beatz & Hitmaka Diamond uso kwa uso na Busta Rhymes, Swizz Beatz & Hitmaka

Rapper mkongwe kutokea nchini Marekani Busta Rhymes ameshare Video akiwa na Diamond Platnumz wakiwa Studio na Kumwagia Sifa kibao ikiwemo kumuita ‘Michael Jackson of Africa ‘  yaani Michael Jackson wa Afrika .

Katika Video hiyo ambayo wanaonekana kama wanasuka Mdundo wa Pamoja, wameonekana Mastaa wengine akiwemo Swizzbeatz, Hitmaka na Otgenasis .

TAZAMA HAPA UJIONE DIAMOND ALIVYOKUTANA NA BUSTA RHYMES  STUDIO NA KUMMWAGIA SIFA