Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 09 01Article 554884

LifeStyle of Wednesday, 1 September 2021

Chanzo: millardayo.com

EXCLUSIVE: Mambo 10 kuhusu kiwanda kinachounda magari ya Volks Wagen Rwanda

EXCLUSIVE: Mambo 10 kuhusu kiwanda kinachounda magari ya Volks Wagen Rwanda play videoEXCLUSIVE: Mambo 10 kuhusu kiwanda kinachounda magari ya Volks Wagen Rwanda

AyoTV leo inakukutanisha na EXCLUSIVE kutoka hapa Kigali Rwanda kulikojengwa Kiwanda cha kuunda magari ya Volks Wagen ambacho Rais Samia alikitembelea mwezi uliopita kujionea na akasema Tanzania ina mengi ya kujifunza kutoka Rwanda, hii video hapa chini itakupitisha kwenye vitu 10 unavyotakiwa kuvifahamu kuhusu VW Rwanda na aina 7 za magari wanayoyaunda hadi sasa.