Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 06 18Article 543283

LifeStyle of Friday, 18 June 2021

Chanzo: millardayo.com

EXCLUSIVE: Mzee ajenga nyumba juu mtini, ulaya ndogo, watu 50 wanakaa (+video)

Nyumba juu ya mti play videoNyumba juu ya mti

Team ya AyoTV imefika Jijini Mbeya Kata ya Kalobe kumfuata Mzee Samweli Marijani ambaye amewashangaza watu wengi baada ya kujenga nyumba yake juu mti wenye urefu wa zaidi ya mita sita .

Nyumba ya Mzee Marijani ina vyumba vitatu sebule yenye uwezo wa kuchukua watu 50 wakitazama TV, jiko pamoja na sehemu ya kulala

Na haya ndio maisha ya Mzee Marijani juu ya ghorofa yake juu ya mti, ni kweli tuna ndoto ya kujenga , je una ndoto kujenga nyumba yako juu ya mti.