Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 11 22Article 573472

Burudani of Monday, 22 November 2021

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Eddy Kenzo, mwanamuziki bora wa kiume Afrika Mashariki.

Mwanamuziki bora wa kiume ukanda wa Afrika Mashariki tuzo za AFRIMA2021 Mwanamuziki bora wa kiume ukanda wa Afrika Mashariki tuzo za AFRIMA2021

Mwanamuziki wa kutoka nchini Uganda, Eddy Kenzo ameibuka mshindi wa tuzo ya AFRIMA2021 kipengele cha Mwanamuziki bora wa kiume ukanda wa Afrika Mashariki.

Eddy Kenzo amewapiku Diamond Platnumz, Harmonize, Rayvanny, Darassa, Meddy, Sauti Soul na Lij Mic.