Uko hapa: NyumbaniBurudani2022 01 13Article 585514

Burudani of Thursday, 13 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Fahyma Atoa Yamoyoni: "Nimechoka"

Fahyma Atoa Yamoyoni: Fahyma Atoa Yamoyoni: "Nimechoka"

Unaambiwa kimeumana bwana!, baada ya Baby Mama wa Msanii Rayvanny Fahyma 'Fahyvanny' ameamua kuvunja ukimya wa kushochwa na story zinazosemekana mitandaoni kwamba ameachwa kwenye mahusiano yake.

Fahyma ametema nyongo kupitia 'Insta Story' yake kwa kuandika ujumbe ufuatao kwa wanaomdhihaki kwamba ameachwa.

"Nasema hivi mnikome jamani Fahyma kaachwa kaachwa, nimechoka na kama sijaachwa je? na wewe unayeendelea kunichokonoa endelea kuna jambo unalitaka".