Uko hapa: NyumbaniBurudani2022 01 09Article 584356

Burudani of Sunday, 9 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Fahyma: Sasa Hivi Mimi Mke wa Mtu

Fahyma: Sasa Hivi Mimi Mke wa Mtu Fahyma: Sasa Hivi Mimi Mke wa Mtu

MWANAMAMA Fahyma ambaye ni baby mama wa msanii Rayvanny amevunja ukimya baada ya kuulizwa juu ya ahadi yake kwamba mwaka 2021 usingepinduka bila kuolewa.

Fahyma ameulizwa; “Fahyma vipi kuhusu ile harusi uliyotuahidi?

Fahyma amejibu; “Tayari bwana, sasa hivi mimi ni mke wa mtu…”

Baada ya kumwagana na Rayvanny ambaye amezaa naye mtoto mmoja wa kiume, Fahyma ambaye ni mwanamitindo aliahidi kwamba, mwaka 2021 hautamalizika bila kufunga ndoa, lakini umepita kimya wala hajafunga ndoa yoyote.