Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 09 01Article 554908

Burudani of Wednesday, 1 September 2021

Chanzo: millardayo.com

Full bata jumba la Nandy Festival wasanii wajiachia (video+)

Full bata jumba la Nandy Festival wasanii wajiachia (video+) play videoFull bata jumba la Nandy Festival wasanii wajiachia (video+)

Ni kutoka kwenye Jumba la Nandy Festival ambapo time hii wasanii watakao perform kwenye Tamasha hilo siku ya Jumamosi Sept 4, 2021 katika Viwanja vya Posta wameweka kambi.

Sasa Ayo TV & Millardayo.com itakuwa inakuletea matukio mbalimbali yale yanayojiri kambini hapo.