Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 11 23Article 573769

Burudani of Tuesday, 23 November 2021

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

#GRAMMY2022: Wizkid, Burnaboy, Angelique Kidjo, TEMS na Black Coffee wametajwa

GRAMMY 2022: Wizkid, Burnaboy, Angelique Kidjo, TEMS na Black Coffee wametajwa GRAMMY 2022: Wizkid, Burnaboy, Angelique Kidjo, TEMS na Black Coffee wametajwa

Staa wa Nigeria Wizkid amefanikiwa kutajwa mara mbili katika Tuzo za Grammys 2022, mwimbaji huyo ameteuliwa katika vipengele vyote viwili vya Global Music.

Mrembo Tems ambaye pia alikuwa na mwaka mzuri baada ya kushirikishwa kwenye wimbo Wizkid “Essence” na pia alishirikishwa kwenye Albamu ya rapa wa Kanada Drake “Certified Lover Boy” kwenye Fountains ambayo kwa sasa imesikilizwa zaidi ya mara milioni 43 kwenye Spotify, amepata uteuzi wake kwa mara ya kwanza kwenye Tuzo za Grammys za 2022.

Mastaa wengine kama Burna Boy, Angelique Kidjo, Black Coffee, na Rocky Dawuni kutoka Ghana pia wap kwenye Tuzo za Grammys za 2022.

Hii hapa orodha ya wasanii wa Kiafrika walioteuliwa kuwania GRAMMYs 2022…

Global Music Album

Wizkid – Made In Lagos Deluxe

Rocky Dawuni – Voice Of Bunbon Vol.1

Femi Kuti – Legacy

Angelique Kidjo – Mother Nature

Global Music Performance

Burna boy & Angelique Kidjo – Do Yourself

Wizkid & Tems – Essence

Pa Pa Pa – Femi Kuti

Blewu – Angelique Kidjo

Best Dance/Electronic Album

Black Coffee – Subconsciously