Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 10 13Article 563089

LifeStyle of Wednesday, 13 October 2021

Chanzo: AyoTV

Gauni la Bi Harusi lawaka moto ukumbini, gari lao lagonga

Gauni la Bi Harusi lawaka moto ukumbini, gari lao lagonga play videoGauni la Bi Harusi lawaka moto ukumbini, gari lao lagonga

Siku ya harusi kikawaida wengi wetu huwa ni siku ya furaha lakini inapotokea visa vyenye mshikemshike huwa inatibua kabisa furaha hiyo, AyoTV leo inakuletea hizi dakika 7 za simulizi ya harusi ambayo moto ulishika kwenye gauni la Bibi Harusi wakati wakiingia ukumbini ambapo pamoja na kwamba pia siku hiyo ilionekana kuwa na vimikosi baada ya gari la Maharusi hao kuligonga gari jingine kabla ya kuingia ukumbini, haikuwapunguzia Maharusi hao furaha yao kwa namna yoyote ile.