Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 08 27Article 553978

Burudani of Friday, 27 August 2021

Chanzo: millardayo.com

Gumzo!! Rapper Kanye West amuweka Dababy, atoa verse za Jay Z

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya HAI, Ole Sabaya Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya HAI, Ole Sabaya

NI Headlines za Rapper kutokea nchini Marekani Kanye West ambapo usiku wa kuamkia Agosti 27, 2021 alifanya listening Party ya tatu ya usikilizwaji wa album yake iitwayo Donda.

Sasa miongoni mwa vitu vilivyowashangaza mashabiki wa muziki ni baada ya staa huyo kumuondoka Jay Z kwenye colabo iliyokuwa inasubiriwa kwa kuhamu katika album hiyo.Haya yameibuka baada ya mashabiki kushtushwa kumuona Dababy akiimba verse za Jay Z katika usikilizwaji wa album hiyo uliofanyika katika uwanjani wa Soldier mjini Chicago.

Chanzo cha Jay Z kuondolewa bado hakijajulikana mpaka sasa huku mashabiki wakiwa na maswali yasiyokuwa na majibu juu ya Jay Z kuondolewa katika album hiyo.