Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 11 19Article 572782

Tabloid News of Friday, 19 November 2021

Chanzo: eatv.tv

Hakika Ruben ataka kuwa kama Wema Sepetu

Hakika Ruben ataka kuwa kama Wema Sepetu play videoHakika Ruben ataka kuwa kama Wema Sepetu

Wakati baadhi ya mastaa wa kike Bongo kuwa kwenye trending ya kufanya 'surgery' kwenye miili yao mchekeshaji Hakika Ruben naye ameibuka kutaka kufanya jambo hilo ili kuwa kama Wema Sepetu.

Hakika anasema anataka kufanya 'Surgery' ya utumbo ili kupunguza tumbo na kutaka muonekano mwembamba kama Wema Sepetu aliyefanya hivyo miaka ya hivi karibuni.

Interview nzima akizungumzia hilo bonyeza hapa kutazama.