Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 05 26Article 540025

xxxxxxxxxxx of Wednesday, 26 May 2021

Chanzo: eatv.tv

Hakuna wa kushindana nami - MB Dogg

Msanii aliyewahi kutamba na style yake ya lavdav kupitia hits kama ‘Si Uliniambia, Akili yangu na Latifa’ Mb Dogg amejigamba kuwa ikiwa utamuona akishindanishwa basi jua itakuwa ni yeye dhidi yake (Me vs Me).

Hii imekuja baada ya msanii huyo ku-post kipande cha video cha moja ya show yake  uwanjani akiwa anaimba wimbo wake pendwa kwa mashabiki Si Uliniambia, nakuambatanisha ujumbe usemao “If ever you find me competing it’s going to be Me vs Me...Signed mbdoggmaster still on a journey”.

Mb Dogg alifanikiwa kuteka soko la muziki ukanda wa Afrika Mashariki kuanzi kipindi cha miaka ya 2000’s kutokana na uwezo wake mkubwa wa uandishi na kuimba.

Join our Newsletter