Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 08 16Article 551827

Tabloid News of Monday, 16 August 2021

Chanzo: millardayo.com

Hamisa amkana Whozu asema aache kumzungumzia "Sina ukaribu nae" (Video+)

Hamisa amkana Whozu asema aache kumzungumzia play videoHamisa amkana Whozu asema aache kumzungumzia "Sina ukaribu nae" (Video+)

Ni msanii Hamisa Mobetto ambae leo Agosti 16, 2021 amekana kuombwa msamaha na Whozu hivi karibuni baada ya Whozu kusema wamemaliza tofauti zao zilizokuwepo.

“Kwanza Whozu sijawahi kuongea nae, sina ukaribu nae na wala sina ukaribu na mtu yoyote ambae anakuwa nae, pia kitu anachotakiwa kukifahamu  kwamba mimi ni Mama mimi ni Dada sidhani kama itapendezwa kwake akiwa na Mama ama Dada akiongelewa Muda wote”- Hamisa Mobetto

“Sio lazima tuwe washikaji ama tuwe marafiki, kwanza mimi kila binadamu anaenifahamu sijawahi kuwa na beef na mtu”-Hamisa Mobetto