Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 11 18Article 572524

Burudani of Thursday, 18 November 2021

Chanzo: Global TV Online

Harmonize Aanika Kila Kitu Kuhusu WCB, Avujisha Sauti ya Rayvanny - Video

Harmonize play videoHarmonize

MSANII wa Bongo Fleva na CEO wa Lebo ya Konde Gang, Harmonize amerejea Tanzania akitokea Marekani alipokuwa kwa Zaidi ya miezi mitatu kwenye Tour ya shows zake na ametumia Zaidi ya lisaa limoja na nusu kuzungumza na waandishi wa Habari kuhusiana na Sakata lake na Wasafi.
"Naonekana mbaya siku zote lakini kuna mambo mengi yameendelea hapo awali kwangu lakini nimeyanyamazia tu hizi ni voice za Rayvanny akizungumza vibaya kuhusu situation ya label miaka mitano iliyopita," amesema Harmonize.