Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 06 04Article 541027

Burudani of Friday, 4 June 2021

Chanzo: millardayo.com

Harmonize aibukia Arusha "top 5 ya matajiri wanaongea tu,alimlipia kila kitu" (+video)

Harmonize aibukia Arusha play videoHarmonize aibukia Arusha "top 5 ya matajiri wanaongea tu,alimlipia kila kitu" (+video)

Msanii wa bongo fleva Harmonize amesema kipindi akiwa kijijini kwao alikuwa anamkubali sana msanii aliyesainiwa kwenye label yake Country Boy na kwamba wasanii wa HIP HOP ndio wanaoongoza dunia kwa kuwa na fedha kuliko wasanii wengine.

“Mwenyezi Mungu aliniongoza kwenye njia sahihi, i belive in country boy,watu wengi wanachukulia mziki wa hip hop haulipi top 5 ya wasanii matajiri duniania ni hip hop akina Rick Ross mimi nakuambia wengine wanafuata tu”-Harmonize