Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 08 30Article 554470

Burudani of Monday, 30 August 2021

Chanzo: eatv.tv

Harmonize aushangaa mtandao wa Youtube

Harmonize aushangaa mtandao wa Youtube Harmonize aushangaa mtandao wa Youtube

CEO wa Kondegang Music Worldwide Harmonize amesema kutokana na ukubwa alionao  kwa sasa akiachia ngoma zake video au audio 'views' wanastuck kuhesabu kwenye mtandao wa Youtube.

Harmonize ameshea hilo kwenye Insta story yake baada ya kuachia kazi yake inayokwenda kwa jina la teacher.

"God is good, imefika wakati Konde boy akiachia ngoma hadi Youtube yenyewe inashangaa hiki nini na kustuck kuhesabu acha tuone kinatokea nini maana sijawahi kuona" ameandika Harmonize