Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 07 21Article 547792

Burudani of Wednesday, 21 July 2021

Chanzo: millardayo.com

Harmonize kamuimba Sarah, amuomba msamaha afunguka "Nilizingua sana"

Harmonize kamuimba Sarah, amuomba msamaha afunguka play videoHarmonize kamuimba Sarah, amuomba msamaha afunguka "Nilizingua sana"

NI Headlines za star kutokea Bongo Flevani, Harmonize ambae time hii amemuimba aliekuwa mpenzi wake Sarah.Kupitia wimbo huo staa huyo ameonekana akimuomba msamaha kwa yale yaliyotokea katika uhusiano wao ikiwemo kuzaa na mwanamke mwingine pasipo ya yeye kufahamu.

Unaweza ukabonyeza play kufahamu alichoimba Harmonize kwa aliekuwa mkewe Sarah.