Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 06 09Article 541888

Burudani of Wednesday, 9 June 2021

Chanzo: millardayo.com

Hemed "Kuna mashabiki hawana adabu, wasichukulie poa kisa Msanii (+video)

Hemed play videoHemed "Kuna mashabiki hawana adabu, wasichukulie poa kisa Msanii (+video)

“Kuna mashabiki wengine wanakosa ustaarabu na adabu, end of the day mimi ni binadamu nina hisia kama binadamu mwingine, mtu anategemea unapokuwa kioo cha jamii uchukulie kila kitu poa wanakosea, ndio maana mastaa wengi wanaingia kwenye matatizo unakuta mtu kamtia mtu ngumi, kampiga chupa, haya yote yanatokana sababu Msanii nae ni binadamu bado ana hisia, tusiwakosee adabu au kuwakosea heshima Wasanii sababu ni vioo vya jamii utegemee wata-relux” Hemed