Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 06 10Article 541927

LifeStyle of Thursday, 10 June 2021

Chanzo: millardayo.com

Hii ndio gari aina ya fiat ni balaa,ina gia 9 ina beba mzigo mkubwa (+video)

Gari aina ya FIAT Gari aina ya FIAT

Gari aina ya Fiat ni miongoni mwa gari za zamani ambazo zina nguvu sana kutokana na uwezo wake wakubeba mzigo mkubwa,dereva anayeendesha gari hiyo anayefahamika kwa jina la Juma  amesema ina gia tisa  lakini ina uwezo mkubwa wakubeba vitu vizito.

“Wengi wanakataa kupanda wanaogopa lakini huku yunakoelekea porini hamna gari nyingine lazima wapande,hii imetengenezwa kwa mfumo wa Low Scania kwa mfumo wa high na hii ina speed 100 tu kazi yeyote inafanya unaitengenezea body”-Dereva

Join our Newsletter