Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 11 11Article 570415

Televisheni of Thursday, 11 November 2021

Chanzo: millardayo.com

Huzuni Sophia wa Jua Kali asimulia msoto aliopitia kwenye maisha (video+)

Huzuni Sophia wa Jua Kali asimulia msoto aliopitia kwenye maisha (video+) play videoHuzuni Sophia wa Jua Kali asimulia msoto aliopitia kwenye maisha (video+)

Ni Mrembo Afsa Omary maarufu kama Sofia kupitia Tamthilia ya Jua Kali ambae time hii kupitia Ayo TV ametuelezea jinsi alivyoanza Safari ya sanaa na yale aliyoyapitia kwenye maisha.