Uko hapa: NyumbaniBurudani2022 01 08Article 584143

Burudani of Saturday, 8 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

JB: Kuna Wema Mmoja Tu

Wema Sepetu Wema Sepetu

KUNA Mwigizaji na director mkubwa wa Bongo Movies, Jacob Steven almaarufu JB amemsifia mwigizaji na mlimbwende wa Tanzania, Wema Sepetu kwamba yupo mmoja tu na hatatokea mwingine.

JB ambaye ameigiza filamu nyingi na Wema ambaye humuita Baba anasema; “Yupo Wema mmoja tu na hatakuja kutokea mrembo mwenye mvuto kama mlimbwende Wema Sepetu.”