Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 09 08Article 556267

Burudani of Wednesday, 8 September 2021

Chanzo: millardayo.com

Jux amjibu Vanessa baada ya kupost ni mjamzito "Siumii, Sina neno"

Jux amjibu Vanessa baada ya kupost ni mjamzito play videoJux amjibu Vanessa baada ya kupost ni mjamzito "Siumii, Sina neno"

Mwimbaji  kutokea Bongo Flevani, Jux ambae ni EX wa Vanessa Mdee amejitokeza na hili ambalo limehesabika kama ni ujumbe kwa Vanessa Mdee na mpenzi wake Rotimi.Ayo TV & Millardayo.com imekuandalia hapa mwanzo mwish==o bonyeza play kufahamu.