Uko hapa: NyumbaniBurudani2022 01 13Article 585385

Burudani of Thursday, 13 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Kali ya Mwaka, Mapacha Waoa Mapacha Wenzao

Kali ya Mwaka, Mapacha Waoa Mapacha Wenzao Kali ya Mwaka, Mapacha Waoa Mapacha Wenzao

Wasanii maarufu ambao ni mapacha Tagwayen Asali kutoka Mji wa Kano Nigeria wame-make headline baada ya kufunga ndoa siku moja na wanawake mapacha wanaoitwa Hassana na Hussaina.

Unaambiwa mapacha hao wakiume walikuwa wana ndoto ya kuoa mapacha wanaofanana ili wafunge nao ndoa na wanamshukuru mungu kwa kujibu maombi yao.

"Kufunga ndoa na mapacha wanaofanana ni moja ya matakwa ambayo tumekuwa tukitafuta maisha yetu yote na Mungu uwe utukufu tumefanikisha hilo," amesema mmoja wa mapacha hao.