Uko hapa: NyumbaniBurudani2022 01 13Article 585412

Burudani of Thursday, 13 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Kali ya Mwaka, Mapacha Waoa Mapacha Wenzao

Kali ya Mwaka, Mapacha Waoa Mapacha Wenzao Kali ya Mwaka, Mapacha Waoa Mapacha Wenzao

Wasanii maarufu ambao ni mapacha Tagwayen Asali na kaka yake Hausa kutoka Mji wa Kano Nigeria wame-make headline baada ya kufunga ndoa siku moja na wanawake ambao nao ni mapacha wanaoitwa Hassana na Hussaina, kutoka Katsina.

Unaambiwa mapacha hao wa kiume ambao ni wasanii maarufu nchini humo walikuwa wana ndoto ya kuoa mapacha wanaofanana na wamekuwa wakimuomba Mungu mara kwa mara ndoto yao ifanikiwe ili wafunge nao ndoa na wanamshukuru mungu kwa kujibu maombi yao.

"Kufunga ndoa na mapacha wanaofanana ni moja ya matakwa ambayo tumekuwa tukitafuta maisha yetu yote na Mungu uwe utukufu tumefanikisha hilo," amesema mmoja wa mapacha hao.