Uko hapa: NyumbaniBurudani2022 01 14Article 585874

Burudani of Friday, 14 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Kanye Ajilipua, Mabusu Kama Yoye na Julia Fox

Kanye Ajilipua, Mabusu Kama Yoye na Julia Fox Kanye Ajilipua, Mabusu Kama Yoye na Julia Fox

Get To Know kwamba rapa maarufu duniani, Kanye West ameanza kumuumiza roho Kim Kardashian, bata lake na mrembo Julia Fox ni la nyota 5.

YE ameonekana akimchapa busu zito hadharani mrembo huyo ambaye penzi lao lipo wazi kwa sasa.

Kim na Kanye wameshatalakiana huku Kanye akikimbilia nchini Urusi ambako inasemekana ana mpako wa kuhamia huko kuishi.

Mastaa hawa ambao wamejaliwa kupata watoto wanne, Kanye amekuwa akihangaika kwa kila mbinu ajirudishe kiaribu Kim ikiwemo kununua nyumba karibu na anapoishi staa huyo lakini juhudi zake zimegonga mwamba, hivyo ameamua ajiweke kwa Julia.