Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 11 25Article 573973

Burudani of Thursday, 25 November 2021

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Kanye Anaamini Ipo Siku Atarudiana na Kim

Kanye Anaamini Ipo Siku Atarudiana na Kim Kanye Anaamini Ipo Siku Atarudiana na Kim

Kanye West anaamini ipo siku atarudiana na Kim Kardashian kwa mipango ya Mungu pamoja na Kim kuingia katika mahusiano mengine na Pete Davidson.

“Ipo siku Mungu atatuweka pamoja, nimefanya makosa, kuna mambo nilifanya hadharani ambayo hayapendezi nikiwa kama mume. Natakiwa kuwa karibu na watoto wangu kwa namna yoyote, kama siwezi kuwa nao nyumbani basi nitatafuta nyumba karibu yao"