Uko hapa: NyumbaniBurudani2022 01 13Article 585511

Burudani of Thursday, 13 January 2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.com

Kanye West Kuhama Marekani

Kanye West Kuhamia Urusi Kanye West Kuhamia Urusi

Aisee hii ni kubwa kuliko ambapo unaambiwa Rapper Kanye West anaripotiwa kuelekea nchini Urusi kukutana na Rais wa nchi hiyo Vladimir Putin pamoja na kujipatia makazi mapya nchini humo kwa Mujibu wa Chapisho La Billboard.

sasa bwana kwa mujibu wa ripoti ya Billboard Kanye West anakwenda nchini humo kukutana na Rais wa Urusi kusudi kuu likiwa ni kupanua biashara zake nje ya nchi.

Mhuri wa Kanye Ameer Sudan ameiambia Billboard kuwa Urusi itakua ni nyumbani pia kwa Rapper huyo na kuendelea kusema kuwa atakuwa akitumia muda mwingi huko.