Uko hapa: NyumbaniBurudani2021 11 22Article 573466

Burudani of Monday, 22 November 2021

Chanzo: eatv.tv

Kauli ya Chidi Benz kwa wanaotoboa pua

Kauli ya Chidi Benz kwa wanaotoboa pua Kauli ya Chidi Benz kwa wanaotoboa pua

Rapa Chidi Benz amekana taarifa za baadhi ya wasanii wanaotoboa pua kwamba wanafanya hivyo kwa kumuiga yeye, pia amewataka wasifanye vitu ambavyo vitaongeleka vibaya kwenye jamii.

Chidi Benz anasema sio sahihi kwa mtu kutoboa mwili wake na wasifanye hivyo kwa kigezo cha yeye kutoboa pua miaka iliyopita bali wamuige kwa kitu vizuri anavyovifanya kwenye game.